BIASHARA ZA KIMTANDAO NI NINI?

BIASHARA ZA KIMTANDAO NI NINI? 




BIASHARA ZA KUMTANDAO NI NINI? 

Biashara za kimtandao; Ni mfumo ulioanzishwa huko ulaya kwa lengo la kuweza kutoa tatizo la AJIRA na kuweza kurahisisha usambazaji wa BIDHAA na huduma mbalimbali.


KWA NINI? BIASHARA YA KIMTANDAO  NI KARNE YA 21?

MAJIBU NI 👇

      🔰UKOSEFU WA AJIRA

      🔰 KUFANYA KAZI NA WATU 

Kama hivi

👇




🔰KUPATA KIPATO KUFIKIA KIWANGO CHA JUU NA KUTIMIZA MALENGO. 







NAPENDA UTAMBUE FAIDA KUMI(10) ZA BIASHARA ZA KIMTANDAO (important of networking marketing) 

   ðŸ”°  Malipo kutokana  na watu wengine.

👉Kwenye Biashara za kimtandao unapata faida kutokana na kazi za watu wengine

     ðŸ”°Malipo Endelevu Kwa kazi ya Mara Moja tu. 

  👉Ukijiunga utatengenezwa wewe na kuwa kiongozi na baadae wewe pia ukiwa UNATENGENEZA pesa na kiongozi wako wa juu nae atakuwa ANATENGENEZA pesa kama wewe na wewe kama kiongozi utakuwa UNATENGENEZA pesa kwa njia ya AFFILIATE(Kuunganisha watu) wengi sana

        🔰 Mtaji Mdogo Wakuanzia. 


👉Mtaji unahitajika mdogo sana unapojiunga na hizi kampuni ni ELFU 13000 tu 



NA HUU MTAJI NI KWAAJILI YA KUJENGA AU KUTENGENEZA MFUMO AMBAO UTAKUWA UNAUSIMAMIA KAMA OFISI YAKO NA UKAWA UNAKUINGIZIA PESA KILA SIKU KWANZIA ELFU 50000-100000 KWA SIKU

       ✅Kabla hujajiunga na kufungua akaunti yako kwa kulipia 13,000 tu mtaji utaona mkubwa sana lakini utakavyo anza kulipwa mtaji wako utaanza kuona si kitu 


        🔰Ni Biashara ya kimataifa. 

👉Biashara hii inazunguka dunia nzima hivyo basi tunafanya na watu wa kimataifa wengi sana na pia na wewe unaweza kwenda kuifanyia popote pale utakapoamua kwenda kwasababu mtaji na simu yako ndo kila kitu

              🔰UHURU wa mda na kipato 

👉Kampuni hizi au biashara za kimtandao hazikuweka limit ya kufanya kazi bali unafanya mda wowote ule utakaoamua wewe kufanya Uzuri wake ni huu hapa
👇

      ✅MIFUMO YAKE NI AUTOMATICALLY 

✔️Niwewe tu na mda wako kuifanya network marketing 

          🔰Mafunzo ni Bure. 

👉Biashara za kimtandao hazihitaji uwe umesoma mafunzo ya kibiashara wala ujuzi ila utapata kutoka kwa kiongozi wako aliekuonesha fursa hii!! 

         ðŸ”° Kujiendeleza binafsi. 

👉Biashara hizi huwa zinamjenga mtu na kuwa bora kiakili kifikra na kimawazo na zinamkuza akili  na hatimaye atajua         
             

        ✔️Kujiwekeza

        ✔️ Na kumanage kipato chake 


            🔰Hakuna ukomo wa kipato 

👉Biashara za kimtandao zinakulipa kila wakati na mda wowote na masaa yeyote yale ishu ni wewe tu kuamua utengeneze shingapi kwa siku  




Post a Comment

0 Comments